WATEMBEA WAJIPENDA
1.
Watembea wajipenda, watembea wajivuna,
Mungu aliyekuumba kwa udongo siku moja utalala x2
Watembea wajipenda, watembea wajivuna,
ukumbuke mwili wako ni mavumbi ya dunia,

2.
Tukila tukinyua tukivaa mwili wetu ni mavumbi
(Mungu aliyekuumba kwa udongo siku moja utalala x2
Unayapenda mambo ya dunia. Hujui wakati wakoumeshafika x2
Unanunua dhambi kwa fedha, wala kiasi hauna kabisa.
Ya nini kusumbukia ya ulimwengu, tena uwezi kushiba ya ulimwengu.
Waenda mbio katika dhambi, wala katika kiasi huna kabisa, ya nini kusumbukia ya ulimwengu, tena uwezi kushiba ya ulimwengu x2
Una jipenda hata kumsahau (muumba wako aliye kuhurumiax2)