AIC Kirindine
  • Home
  • Prayers
  • Sermons
  • Songs
  • About Us
    • Our Leadership
    • Our Story
  • Giving
  • Knowledge Base
  • Contact

MAWAZO UNAYOYAWAZA

1. (Mawazo) unayowaza
(maneno) unayoyasema
(Matendo) unayoyatenda
(Mungu) anayajua x2

Darubini ya Bwana, inakusungulia x3, inakuona.
Ujificahe wapi inakuchungulia, ukimbilie wapi,
inakuchungulia heri hutubu x 2

2. (Hata) Ndugu ukipewa
(Huu) ulimwengu wote
(Huja) pata hasara
(Mwisho) ni Jehanamu

3. (Tele) visheni ya Bwana
(Ita) yaonyesha yote
(Siku) Hiyo yamwisho
(Yale) uliyoyafanya x2

« WATEMBEA WAJIPENDA » TUTATEMBEA BONDENI LA AMANI

1. (Mawazo) unayowaza
(maneno) unayoyasema
(Matendo) unayoyatenda
(Mungu) anayajua x2

Darubini ya Bwana, inakusungulia x3, inakuona.
Ujificahe wapi inakuchungulia, ukimbilie wapi,
inakuchungulia heri hutubu x 2

2. (Hata) Ndugu ukipewa
(Huu) ulimwengu wote
(Huja) pata hasara
(Mwisho) ni Jehanamu

3. (Tele) visheni ya Bwana
(Ita) yaonyesha yote
(Siku) Hiyo yamwisho
(Yale) uliyoyafanya x2

AIC Kirindine

Request Prayer

Publish Article

Publish Song

Create Account

Join our Church

Donate To our Church

 

    AIC Kirindine 2026 © All Rights Reserved
    Developed by Maxwell Mwiti. Mbae +254704030266