CHUNGA HASIRA
1. Basi kila mtu na awe mwepesi, wa kusikia habari
Si kusema wala kukasirikax2 wala kukasirika x2
Maana Hasira ya mwanadamu,
haitendi haki ya Mungu x2
Solo: – Hasira ya mwanadamu , inaua.
All: Inaua
Solo: Hata kama ni kazi ya Bwana,inaua
All:Inaua
Solo: – Ata kama ni ujirani mwema, inaua
All: – Inaua
Solo: – Ata kama ni urafiki, inau
All: – Inaua
4.
Solo: – Hasira uleta hasara, inaua
All: – Inaua
Solo: – hasira ilimfanya kaini aue, inaua
All: – Inaua
5.
Solo :- Ndugu ukikasirika, ujirudi
All: – ujirudi
Solo: – Jua lisichue bado unakasirika, ujirudi
All: – ujirudi
Sop: – Jilinde na hasira.
All: – Jilinde na hasira
Sop: – Chunga isikutawale
All: – Jilinde na hasira
Sop: – Jilinde na hasira
All: – Jilinde na hasira
Sop: – Chunga isikuangushe
All: – Jilinde na hasira
1. Basi kila mtu na awe mwepesi, wa kusikia habari
Si kusema wala kukasirikax2 wala kukasirika x2
Maana Hasira ya mwanadamu,
haitendi haki ya Mungu x2
Solo: – Hasira ya mwanadamu , inaua.
All: Inaua
Solo: Hata kama ni kazi ya Bwana,inaua
All:Inaua
Solo: – Ata kama ni ujirani mwema, inaua
All: – Inaua
Solo: – Ata kama ni urafiki, inau
All: – Inaua
4.
Solo: – Hasira uleta hasara, inaua
All: – Inaua
Solo: – hasira ilimfanya kaini aue, inaua
All: – Inaua
5.
Solo :- Ndugu ukikasirika, ujirudi
All: – ujirudi
Solo: – Jua lisichue bado unakasirika, ujirudi
All: – ujirudi
Sop: – Jilinde na hasira.
All: – Jilinde na hasira
Sop: – Chunga isikutawale
All: – Jilinde na hasira
Sop: – Jilinde na hasira
All: – Jilinde na hasira
Sop: – Chunga isikuangushe
All: – Jilinde na hasira
