WANAFUNZI WAWILI WAKIELEKEA EMMMAUS
1.Palikuwa wanafunzi wawili,
Wakielekea huko mjini Emmaus.
Bwana wetu Yesu kajiunga nao Njiani
Hawakujuwa kama ni Bwana Yesu x2
Chorus
Wanafunzi wawili hawakumtambua
Alipoumega ule mkate wakala,
Walifunguka macho na kumjua x2
2.Bwana Yesu ni mkate wa uzima,
Katika safari yeye ni Kiongozi,
Usiwe na shaka na usikate tama.
Yu pamoja nawe na atakuongoza. X2
3.Yesu alisema ni njia ya uzima,
Yakwenda kwa Baba na hakuna mwingine.
Tumwamini Yesu nasi tutaingia,
Katika uzima ule wa milele x2
4.Kama ni mateso hayo yanakujia,
Kama ni majaribu ndio yanakujia.
Anaweza yote ukitembea na Yesu
Atakushindania Yesu ni muweza yote. X2
1.Palikuwa wanafunzi wawili,
Wakielekea huko mjini Emmaus.
Bwana wetu Yesu kajiunga nao Njiani
Hawakujuwa kama ni Bwana Yesu x2
Chorus
Wanafunzi wawili hawakumtambua
Alipoumega ule mkate wakala,
Walifunguka macho na kumjua x2
2.Bwana Yesu ni mkate wa uzima,
Katika safari yeye ni Kiongozi,
Usiwe na shaka na usikate tama.
Yu pamoja nawe na atakuongoza. X2
3.Yesu alisema ni njia ya uzima,
Yakwenda kwa Baba na hakuna mwingine.
Tumwamini Yesu nasi tutaingia,
Katika uzima ule wa milele x2
4.Kama ni mateso hayo yanakujia,
Kama ni majaribu ndio yanakujia.
Anaweza yote ukitembea na Yesu
Atakushindania Yesu ni muweza yote. X2
