AIC Kirindine
  • Home
  • Prayers
  • Sermons
  • Songs
  • About Us
    • Our Leadership
    • Our Story
  • Giving
  • Knowledge Base
  • Contact

HAKIKA BWANA YESU ATARUDI

1.Hakika Bwana Yesu atarudi,
Na Ujira wake Mkononi,
Kumlipa kila Mwanadamu,
(Sawa sawa na matendo yake x2) x2

Chorus
Nikawaona watu wamesimama,
Mbele ya hicho kiti cha enzi,
Waovu nao wakahukumiwa,
(Sawa sawa na matendo yake x2) x2

2.Bahari nayo ikawatoa wafu,
Walio kufa humo ndani yake.
Mauti nayo ikawatoa wafu,
(Hao nao wakahukumiwa x2) x2

3.Ikiwa Mtu hakuandikwa,
katika hicho Kitabu cha Uzima.
Ametupwa katika Ziwa la moto,
(Hiyo ndiyo mauti ya pili x2) x2

« WANAFUNZI WAWILI WAKIELEKEA EMMMAUS » NAONA SAA IMEKAMILIKA

1.Hakika Bwana Yesu atarudi,
Na Ujira wake Mkononi,
Kumlipa kila Mwanadamu,
(Sawa sawa na matendo yake x2) x2

Chorus
Nikawaona watu wamesimama,
Mbele ya hicho kiti cha enzi,
Waovu nao wakahukumiwa,
(Sawa sawa na matendo yake x2) x2

2.Bahari nayo ikawatoa wafu,
Walio kufa humo ndani yake.
Mauti nayo ikawatoa wafu,
(Hao nao wakahukumiwa x2) x2

3.Ikiwa Mtu hakuandikwa,
katika hicho Kitabu cha Uzima.
Ametupwa katika Ziwa la moto,
(Hiyo ndiyo mauti ya pili x2) x2

AIC Kirindine

Request Prayer

Publish Article

Publish Song

Create Account

Join our Church

Donate To our Church

 

    AIC Kirindine 2026 © All Rights Reserved
    Developed by Maxwell Mwiti. Mbae +254704030266