WAKATI WA MATATIZO
1.Wakati wa matatizo najiuliza maswali,
Kweli Bwana Mungu yuko Karibu na mimi,
Shinda zanifunga macho nikawa sioni mbele,
Kweli Dunia hii ina matatizo x2
Chorus
Sikia sauti yangu Bwana, ninakuomba,
Nipe uwezo.Shinda nyingi, zimenisonga, na sina uwezo.
Nishindiye Bwana daima x2
2.Na wakati furaha, naanza kufikiria,
Wema na uzuri wako, na vile unanipenda.
Siyapendi matatatizo lakini nafurahia,
Vile nguvu zako zaniweshesha kushinda. X2
3.Nina waombea wote, ambao ni wadhaifu
Waongeze imani wapate kuwa na raha.
Wape imani wapate kukutumaini wewe
Ndipo wapate kujua Nguvu zako Bwana x2
1.Wakati wa matatizo najiuliza maswali,
Kweli Bwana Mungu yuko Karibu na mimi,
Shinda zanifunga macho nikawa sioni mbele,
Kweli Dunia hii ina matatizo x2
Chorus
Sikia sauti yangu Bwana, ninakuomba,
Nipe uwezo.Shinda nyingi, zimenisonga, na sina uwezo.
Nishindiye Bwana daima x2
2.Na wakati furaha, naanza kufikiria,
Wema na uzuri wako, na vile unanipenda.
Siyapendi matatatizo lakini nafurahia,
Vile nguvu zako zaniweshesha kushinda. X2
3.Nina waombea wote, ambao ni wadhaifu
Waongeze imani wapate kuwa na raha.
Wape imani wapate kukutumaini wewe
Ndipo wapate kujua Nguvu zako Bwana x2
