TUTUNZE SHERIA ZA BWANA
1
Tutunze sheria za Bwana, tutunze sheria x2
Tenor: – Bwana Mungu kasema usiwe
All: – Na miungu mingine
Tenor: – Sijifanyie sanamu ya kuchonga
All: – Ukaiabudu x2
Ewe mama: Tutunze sheria za Bwana tutunze sheria.
Ewe Baba:Tutunze sheria za Bwana tutunze sheria.
Ewe Ndugu:Tutunze sheria za Bwana tutunze sheria.
Sisi sote:Tutunze sheria za Bwana tutunze sheria.
3.
Tutunze sheria za Bwana, tutunze sheria x2
Tenor: – Silitaje bure jina lake.
All: – Bwana mungu wa majeshi.
Tenor: – Ikumbuke siku yake Bwana
All: Siku sita fanya kazi x2
Ewe Nyanya : Tutunze sheria za Bwana tutunze sheria.
Ewe Dada :Tutunze sheria za Bwana tutunze sheria.
Ewe Kaka :Tutunze sheria za Bwana tutunze sheria.
Sisi sote :Tutunze sheria za Bwana tutunze sheria.
4.
Tenor: – Simshuhudie huyo njirani yako,
All: – Habari cha uongo
Tenor: – Sitamani chochote alicho nazo
All: – Huyo njirani yako x2