KAZI YA MUNGU NI YA AMANI
1.
Kazi yake, Mungu Baba, ni ya Amani, na upendo,
mbona wewe, unavuruga, na kulete giza kazini mwa Bwana.
Ole ole, ndugu yangu, unayevuruga, kazi ya Bwana,
Wakatae, waepuke, wanaokudanganya watakupoteza
Tupe nguvu x2 Tupate shinda x2
Majaribu yote ya dunia.
Utatupwax2 Jehanamu x2
Ukivuruga Kazi yake Bwana) x2
2.
Adhabu yake afahamuye, neno hili, la uzima,
atapigwa, maradufu, kwa kuipotosha msingi ya injili.
Ewe mkristo, uliyemwamini,jenga kanisa, lake Bwana
uihubiri, injili kote, uvuguvugu si katika ya injili x2
3.
Kazi yake, Mungu Baba, ilianza na mitume,
na hivi leo, inatangaazwa, duniani kote kwa utaratibu mwema x2