KAMA ILIVVOKUWA VITA VYA SADDAM HUSSIEN
1.Kama ilivyakuwa vita, vya Saddam Hussien,
na Marekani mwaka tisini na moja Kuwaiti.
Walipambana vikali bunduki zilipigwa,
mizinga ya kutisha ilifyatuliwa
Shabaha ilikuwa aondolewe Saddam Kuwaiti.
Ndivyo ilivyo vita kuu, vya huyo ibilisi akipambana na jeshi la waminio.
(Eti kwa kuwa mungu ali-mnyanganya uzima wa milele akatupa,
sisi wanadamu, anafanya kila mbinu, atuondoe katika, uzima wa milele) x2
Solo:Saddam Hussieni ii, ni mwanadamu uu, kwa kutumia nguvu zake, alibaduliwa Kuwaiti.
Lakini sisi ii, tuna-ushinda aa, ulimwengu katika yeye atutiaye nguvu
All: – Simama fanya vita, pamoja na mfalme, bendera tuishike, iliyo ya mwokozi.
Mwokozi uongoza majeshi yake huku, adui zake wote washindwa mbele zake. Shindano letu hapa, la kwisha siku moja.
Twapiga vita leo, baada pumziko.( Na kila mshidaji, atapokea taji (La utukufu) karibu ma mfalme (Halleluya ameni) x2
2.
Asili kubwa ya kushindwa, katika vita hivyo,
ni kutenda machafuko, na kufichaa dhambi.
Watu wanapenda pesa, uzinzi uasherati, kunywa pombe kusengenya,
uongo na uadui hayo ndiyo magome, yaliyotegwa na huyo, Ibilisi Shetani.
Vita vimepamba moto, Shetani azunguka, akimtafuta mtu ammeze kabisa.
(Utakosaje magome, ya huyo ibilisi, ikiwa bado ungali katika anasa, shauri yako mwezangu, jitahindi uushinde ulimwengu huu )x2