TUTATEMBEA BONDENI LA AMANI
1.
Bass:-Tutatembea bondeni la amani
Sop: – Halleluyah.
All: -Tutatembea bondeni la amani, Kwa sababu Yesu ataongoza,
tutatembea bondeni la amani x2
Ni furaha nyingi ni furaha, Halleluyah.
Ni furaha nyingi ni Furaha, Kwa sababu Yesu Ataongoza,
tutatembea bondeni la amani
2.
Bass: – Waovu hawataingia
Sap: – Halleluyah.
All: – Waovu hawataingia, watakuwa pamoja na Shetani,
waovu hawataingia x2
3.
Bass: – Kama wewe ukiamwamini Yesu
Sop: – Halleluyah
All: – Kama wewe ukimwamini Yesu, utakuwa pamoja na
Mwokozi, kama wewe ukimwamini Yesu x2