AIC Kirindine
  • Home
  • Prayers
  • Sermons
  • Songs
  • About Us
    • Our Leadership
    • Our Story
  • Giving
  • Knowledge Base
  • Contact

MTU MMOJA JINA SAULI

1.
Mtu mmoja, jina lake sauli alikuwa wa ajabu,
Aliwauwa, wote watakatifu, wake Mungu,
Yerusalemu X2

Solo: – Sauli watesa watu wangu. Sauli, Sauli mbona
Waniudhi x2. Bwana-aa
All: – Kachukizwa sana, Kamwambia Sauli,
Mimi ndimi Yesu unayeniudhi,
Solo: – Ole. All: – Ole wako wewe, unayemuhudhi,
Bwana Mungu wako, utahukumiwa x2

2
Sauli huyo, alifanywa kipofu kwa hasira yake Bwana,
na hakujua, kuwa ni Bwana Yesu alikuwa,
amemwona x2

3.
Lakini Bwana, kayafungua tena,
macho yake na kuona, kisha akarudi,
kulitangaza jina lake Yesu Mkombozi x2

« TUTATEMBEA BONDENI LA AMANI » NI SIKU TUKUFU

Request Prayer

Publish Article

Publish Song

Create Account

Join our Church

Donate To our Church

    AIC Kirindine 2026 © All Rights Reserved
    Developed by Maxwell Mwiti. Mbae +254704030266