AIC Kirindine
  • Home
  • Prayers
  • Sermons
  • Songs
  • About Us
    • Our Leadership
    • Our Story
  • Giving
  • Knowledge Base
  • Contact

SIKU ZANGU DUNIANI NI CHACHE MNO

1.
Siku zangu duniani,
na ziona chache sana,
nazo zimejaa taabu na maangaiko mengi x2

Tumbwombe,Baba,Tumwombe
Alete, Baba, Alete
Amani, Baba, Amani
Dunia iwe tulivu x2

2.
Dunia na mambo yake, kitambo yatatoweka,
na mwisho wakaribia, jifiche kwa Bwana yesu X2

3.
Ufungue moyo wako, Bwana Yesu aingie,
uyaache ya Dunia, yote yatajapita x2

« ASANTE MUNGU KWA KUTULINDA MWAKA MZIMA » BWANA YESU ALITAMKA

1.
Siku zangu duniani,
na ziona chache sana,
nazo zimejaa taabu na maangaiko mengi x2

Tumbwombe,Baba,Tumwombe
Alete, Baba, Alete
Amani, Baba, Amani
Dunia iwe tulivu x2

2.
Dunia na mambo yake, kitambo yatatoweka,
na mwisho wakaribia, jifiche kwa Bwana yesu X2

3.
Ufungue moyo wako, Bwana Yesu aingie,
uyaache ya Dunia, yote yatajapita x2

AIC Kirindine

Request Prayer

Publish Article

Publish Song

Create Account

Join our Church

Donate To our Church

 

    AIC Kirindine 2026 © All Rights Reserved
    Developed by Maxwell Mwiti. Mbae +254704030266