AIC Kirindine
  • Home
  • Prayers
  • Sermons
  • Songs
  • About Us
    • Our Leadership
    • Our Story
  • Giving
  • Knowledge Base
  • Contact

BWANA YESU ALITAMKA

1.
Bwana yesu alitamka,
Mimi ndimi Njia ya kweli.
Mtu haji Kwa Baba yangu,
ila kwa njia yangu Mimi x2

Heebu jiulize(Jiulize).
Njia gani uifuatayox2
Nawe waelekea wapi,
Na wafuata njia ya kweli x2

2.
Ngamia ni rahisi sana,
kuingia tundu la shindano,
Kuliko mtu mewenye dhambi,
Kuingia nyumbani kwa baba x2

3.
Njia nyembamba yenye taabu,
ndiyo iendayo Mbinguni,
na hiyo pana ya anasa,
yaenda Jehanamu x2

4.
Mimi ndimi mwanzo na mwisho,
Mimi ni alpha na Omega,
Mtu haji kwa Baba yangu,
Ila kwa njia yangu mimi x2

« SIKU ZANGU DUNIANI NI CHACHE MNO » PALE KALE YERUSALEMU

1.
Bwana yesu alitamka,
Mimi ndimi Njia ya kweli.
Mtu haji Kwa Baba yangu,
ila kwa njia yangu Mimi x2

Heebu jiulize(Jiulize).
Njia gani uifuatayox2
Nawe waelekea wapi,
Na wafuata njia ya kweli x2

2.
Ngamia ni rahisi sana,
kuingia tundu la shindano,
Kuliko mtu mewenye dhambi,
Kuingia nyumbani kwa baba x2

3.
Njia nyembamba yenye taabu,
ndiyo iendayo Mbinguni,
na hiyo pana ya anasa,
yaenda Jehanamu x2

4.
Mimi ndimi mwanzo na mwisho,
Mimi ni alpha na Omega,
Mtu haji kwa Baba yangu,
Ila kwa njia yangu mimi x2

AIC Kirindine

Request Prayer

Publish Article

Publish Song

Create Account

Join our Church

Donate To our Church

 

    AIC Kirindine 2026 © All Rights Reserved
    Developed by Maxwell Mwiti. Mbae +254704030266