AIC Kirindine
  • Home
  • Prayers
  • Sermons
  • Songs
  • About Us
    • Our Leadership
    • Our Story
  • Giving
  • Knowledge Base
  • Contact

ASANTE MUNGU KWA KUTULINDA MWAKA MZIMA

1.
Asante Mungu kwa kutulinda mwaka mzima,
Katuletea mafanikio ya kweli,
Mengi katufanyia sisi watu wako,
Tuonee huruma ewe Mungu x2

Mabaya tulikuwa tukifanya mwaka jana,
Tusamehe yote Mungu Baba twakuomba,
Tuanze mwaka mpya na mambo mapya,
Sana sana kuleta watu Kanisani x2

2.
Mwaka mpya huu tunakuomba utulinde,
Tuwe tukiongozwa na nguvu zako,
Kueneza neno lako,
ewe Mungu Baba uonee huruma ewe Mungu x2

« MIMI NI CHOMBO » SIKU ZANGU DUNIANI NI CHACHE MNO

1.
Asante Mungu kwa kutulinda mwaka mzima,
Katuletea mafanikio ya kweli,
Mengi katufanyia sisi watu wako,
Tuonee huruma ewe Mungu x2

Mabaya tulikuwa tukifanya mwaka jana,
Tusamehe yote Mungu Baba twakuomba,
Tuanze mwaka mpya na mambo mapya,
Sana sana kuleta watu Kanisani x2

2.
Mwaka mpya huu tunakuomba utulinde,
Tuwe tukiongozwa na nguvu zako,
Kueneza neno lako,
ewe Mungu Baba uonee huruma ewe Mungu x2

AIC Kirindine

Request Prayer

Publish Article

Publish Song

Create Account

Join our Church

Donate To our Church

 

    AIC Kirindine 2026 © All Rights Reserved
    Developed by Maxwell Mwiti. Mbae +254704030266