PALE KALE YERUSALEMU
1.
Pale kale Yerusalemu, Yesu ka-wambia
Nyumba ya Baba yangu imefanywa kuwa soko x2
Bass:Aaa.Kasema
All: Nyumba ya Baba Yangu
Bass:Kweli
All: Sio ya walevi, wala wanyanganyi, bali ndilo la Baba yangu x2
2.
(Yesu alisema ) (Bass: Hayo).
Naa kuwambia msindanganyike na mambo ya ulimwengu x2
3.
Yesu alienda (Bass: Kusudi).
Humo hekaluni na kuwafukuza wanyanganyi na walevi x2
4.
Siku hizi kwa makanisa (Bass: Kweli)
Ni mchanganyiko watu wale wameokoka na wale wenye dhambi X2
Bass: Katika makanisa
All: Ni mchanganyiko,
Bass: mbuzi na Kondoo
All:- Watu wako na wenye dhambi wale wasiokoka Mungu Baba tuokoe x2