DUNIA YA LEO
1.Dunia ya leo shetani yuko na hasira sababu wakati wake ni mfupi,
sababu wakati wake ni mfupi x2
Nakuomba Baba unishidiye majaribu ni mengi duniani x2
2.Dunia ya leo maasi yaongezeka, upendo wa watu wengi umepoa,
upendo wa watu wengi umepoa x2
3.Dunia ya leo ishara zaongezeka, za kurudi kwake Mungu duniani,
za kurudi kwake Mungu dunianix2