NJOO KWANGU WENYE KIU
1.
Njooni kwangu wenye mizigo mizito.
Njooni kwangu mliolemewa
asema Bwana Yesu wa milele.
Nami nitawapumshiza x2
Wekeni nira yangu shingoni mwenu,
Mpate kunijua mimi mpole wa moyo x2
2.
Njooni Kwangu wenye kiu ya haki
Munywe maji yangu ya uzima,
Asema Bwana hamtaona kiu tena,
Maji yangu ni ya uzima x 2
3.
Niwitapo ninyi hakuna uchovu,
Furaha tele-tena na kuimba
Akuna shinda amina milele
Kwake Yesu kuna uzima x 2
1.
Njooni kwangu wenye mizigo mizito.
Njooni kwangu mliolemewa
asema Bwana Yesu wa milele.
Nami nitawapumshiza x2
Wekeni nira yangu shingoni mwenu,
Mpate kunijua mimi mpole wa moyo x2
2.
Njooni Kwangu wenye kiu ya haki
Munywe maji yangu ya uzima,
Asema Bwana hamtaona kiu tena,
Maji yangu ni ya uzima x 2
3.
Niwitapo ninyi hakuna uchovu,
Furaha tele-tena na kuimba
Akuna shinda amina milele
Kwake Yesu kuna uzima x 2
