AIC Kirindine
  • Home
  • Prayers
  • Sermons
  • Songs
  • About Us
    • Our Leadership
    • Our Story
  • Giving
  • Knowledge Base
  • Contact

MIRADI GANI ULIYONAYO

1.
Miradi gani, uliyo nayo.
Yenye dhamani, zaidi ya Yesu.
Miradi gani, yenye wokovu,
Ambayo faida yake uzima wa milele x 2

Bali na miradi. yenye baraka.
Usipende za-idi yake Bwana.
Mkumbuke Bwana, kwa mali yako,
Toa mali yako kwa kuhubiri x 2

2.
Nilizaliwa, nikiwa uchi,
Bali na vyote, baraka za
Mungu. Mradi gani, wenye dhamani.
Fariji ya moyo wangu potelea mbali x2

3.
Wasumbukia, na yapitao.
Nini dhamani, ya moyo wako.
Neno la Mungu, linakuita,
Ni mradi wa uzima salama milele x 2

« HUKUMU ITATOLEWA. » NJOO KWANGU WENYE KIU

1.
Miradi gani, uliyo nayo.
Yenye dhamani, zaidi ya Yesu.
Miradi gani, yenye wokovu,
Ambayo faida yake uzima wa milele x 2

Bali na miradi. yenye baraka.
Usipende za-idi yake Bwana.
Mkumbuke Bwana, kwa mali yako,
Toa mali yako kwa kuhubiri x 2

2.
Nilizaliwa, nikiwa uchi,
Bali na vyote, baraka za
Mungu. Mradi gani, wenye dhamani.
Fariji ya moyo wangu potelea mbali x2

3.
Wasumbukia, na yapitao.
Nini dhamani, ya moyo wako.
Neno la Mungu, linakuita,
Ni mradi wa uzima salama milele x 2

AIC Kirindine

Request Prayer

Publish Article

Publish Song

Create Account

Join our Church

Donate To our Church

 

    AIC Kirindine 2026 © All Rights Reserved
    Developed by Maxwell Mwiti. Mbae +254704030266