AIC Kirindine
  • Home
  • Prayers
  • Sermons
  • Songs
  • About Us
    • Our Leadership
    • Our Story
  • Giving
  • Knowledge Base
  • Contact

MACHO YAKE BWANA YANAONA POTE

1
Macho yake Bwana, yanaona pote,
Juu ya milima, hata na angani,
Ewe mwanadamu, unafikiria,
Mungu hakuoni utendapo dhambi x 2

Yote usemayo, Hakika,Yote utendayo,
Hata Yale yote unaficha watu,
Yataonekana juu ya milima,
Rekebisha mwendo hukumu yaja x 2

3.
Mungu alipenda, ulimwengu sana,
Kamtoa mwana, wake wa pekee
Ili amwaminiye, asipotee,
bali apokee, ufalme wake x 2

4.
Neno lake Bwana, linaseme wazi,
Tukitenda dhambi, tutakuwa wafu,
Bali tukitenda, yampendezayo,
Tutazipokea, taji za ushindi x 2

« NJOO KWANGU WENYE KIU » MUDA ULIOPEWA MWANADAMU

1
Macho yake Bwana, yanaona pote,
Juu ya milima, hata na angani,
Ewe mwanadamu, unafikiria,
Mungu hakuoni utendapo dhambi x 2

Yote usemayo, Hakika,Yote utendayo,
Hata Yale yote unaficha watu,
Yataonekana juu ya milima,
Rekebisha mwendo hukumu yaja x 2

3.
Mungu alipenda, ulimwengu sana,
Kamtoa mwana, wake wa pekee
Ili amwaminiye, asipotee,
bali apokee, ufalme wake x 2

4.
Neno lake Bwana, linaseme wazi,
Tukitenda dhambi, tutakuwa wafu,
Bali tukitenda, yampendezayo,
Tutazipokea, taji za ushindi x 2

AIC Kirindine

Request Prayer

Publish Article

Publish Song

Create Account

Join our Church

Donate To our Church

 

    AIC Kirindine 2026 © All Rights Reserved
    Developed by Maxwell Mwiti. Mbae +254704030266