NITAYAINUA MACHO YANGU NITAZAME MILIMA.
Solo: – Nitayainua macho yangu nitazame milimax2
Msaada wangu watoka wapi x2) X2

Msaada wangu watoka wapi x2) x2
All: Nitalitia jina lake Bwana,
(Solo: Oo mimi nita) x2 Nitalitia jina lake Bwana
(Solo: Oo mungu wangu) aliyezifanya
(Mungu wangu) mbingu nayo nchi) x2
Tenor Solo: – Watakatifu wote wa kale walitia jina lake
Bwana (Wakapokea, haja za mioyo yao) x2
Sap Solo: – Yule Hanna mkewe Elikana alitia jina lake
Bwana (Akapokea haja ya moyo wake) x2
Auto Solo: – Hezekai akiwa mgonjwa alilitia, jina lake
Bwana (Akapokea uponyaji tele) x2
All: – msaada wangu ukatika Bwana aliyeifanya mbingu nayo ya nchi x2