MBONA WAOGOPA WAPI AMANI YAKO
1.
Solo: – (Mbona waogopa sasa majaribu yako
Mbona unamashaka sasa majaribu yako) x2
All: – Mkumbuke Bwana yesu alivyosema,
duniani mnayo dhiki jipeni x2.
Jipe moyo Baba yangu utayashinda
Jipe moyo mama yangu utayashinda
Jipe moyo kaka yangu utayashinda
Jipe moyo dada yangu utayashinda
Mkumbuke Bwana Yesu alivyosema Duniani
Mnayo dhiki, jipeni moyo x2
2.
Solo: – (Mbona una huzuni wewe, wapi imani yako
Mbona unafadhaika wewe, wapi imani yako) x2
All: – Yesu ndiye ngao yako, atakushindia,
Yesu ndiye ngome yako atakushindia x2.
Shikilia imani Baba mwangaliye Yesu.
Shikilia imani Baba mwangaliye Yesu.
Shikilia imani Mama mwangaliye Yesu.
Shikilia imani kaka mwangaliye Yesu.
Shikilia imani dada mwangaliye Yesu.
Yesu ndiye ngao yako atakushindia Yesu ndiye ngome yako atakushindia
Mruhusu Bwana Yesu (Bwana Yesu) atawale maisha yako.
Mkubali Bwana Yesu (Bwana Yesu) atawale maisha yako.
(Songa mbele) Songa mbele ndugu yangu (Usiogope) mwangalie bwana yesu.
(Songa mbele) songa mbele ndugu yangu (Jipe moyo) mwangaliye Bwana yesu.
Songa mbele ndugu yangu (mwangalie) Bwana yesu