AIC Kirindine
  • Home
  • Prayers
  • Sermons
  • Songs
  • About Us
    • Our Leadership
    • Our Story
  • Giving
  • Knowledge Base
  • Contact

NIPE MOYO SAFI

1.
Nipe moyo safi Bwana niingie mbinguni,
Nipe moyo safi Bwanaa.
Nipe moyo safi Bwana niingie mbinguni,
kukaa milele nawe x2

Niongoze katika safari,
Nishike mkono Bwana,
Nipe moyo safi Bwana niingie mbinguni,
kukaa milele nawe x2

2.
Nipe mafuta ya Roho wako Mtakatifu,
Nipe mafutaa Bwana,
Nipe mafuta ya Roho wako Mtakatifu,
Mwalimu na Mfariji x2

Niongoze katika safari,
Nishike mkono Bwana,
Nipe mafuta ya Roho wako Mtakatifu,
Mwalimu na Mfariji x2

3.
Pasipo Msalaba Mbingu hatutaziona,
Pasipo Msalaba wakee,
Pasipo Msalaba Mbingu hatutaziona,
Bwana vunja kiburi chetu x2

Niongoze katika safari, Nishike mkono
Bwana, Pasipo Msalaba Mbingu hatutaziona,
Bwana vunja kiburi chetu x2

4.
Ni heri kuingia Mlango ule mwembamba,
Ni heri kuingia mlee.
Ni heri Kuingia Mlango ule mwembamba
kukaa milele nawe x2

Niongoze katika safari,
Nishike mkono Bwana,
Ni heri Kuingia Mlango ule mwembamba
kukaa milele nawe x2

« EWE MSAFIRI WA SAFARI YA MBINGUNI » HUKUMU ITATOLEWA.

1.
Nipe moyo safi Bwana niingie mbinguni,
Nipe moyo safi Bwanaa.
Nipe moyo safi Bwana niingie mbinguni,
kukaa milele nawe x2

Niongoze katika safari,
Nishike mkono Bwana,
Nipe moyo safi Bwana niingie mbinguni,
kukaa milele nawe x2

2.
Nipe mafuta ya Roho wako Mtakatifu,
Nipe mafutaa Bwana,
Nipe mafuta ya Roho wako Mtakatifu,
Mwalimu na Mfariji x2

Niongoze katika safari,
Nishike mkono Bwana,
Nipe mafuta ya Roho wako Mtakatifu,
Mwalimu na Mfariji x2

3.
Pasipo Msalaba Mbingu hatutaziona,
Pasipo Msalaba wakee,
Pasipo Msalaba Mbingu hatutaziona,
Bwana vunja kiburi chetu x2

Niongoze katika safari, Nishike mkono
Bwana, Pasipo Msalaba Mbingu hatutaziona,
Bwana vunja kiburi chetu x2

4.
Ni heri kuingia Mlango ule mwembamba,
Ni heri kuingia mlee.
Ni heri Kuingia Mlango ule mwembamba
kukaa milele nawe x2

Niongoze katika safari,
Nishike mkono Bwana,
Ni heri Kuingia Mlango ule mwembamba
kukaa milele nawe x2

AIC Kirindine

Request Prayer

Publish Article

Publish Song

Create Account

Join our Church

Donate To our Church

 

    AIC Kirindine 2026 © All Rights Reserved
    Developed by Maxwell Mwiti. Mbae +254704030266