HUKUMU ITATOLEWA.
1.
Hukumu itatolewa, kwa watu wote wabaya,
Wapendao Ulimwengu, na dhambi zao.
Mwokozi atarejea, na zawadi za Ushindi,
Zitatolewa kwa wote walioshinda x2
Bwana atawapa pole, huku akiwapokea,
Kwa kushikana mikono, poleni sana.
Wakipanda pole pole, kuingia paradiso,
Mji ulio mzuri Yerusalemu x2
2
Siku hiyo itakuwa, siku ya ajabu sana,
Sinema itatolewa, kwa watu wote,
Waovu watatamani, wasioone sinema,
Kwa sababu wametenda, mambo mabaya x2
3
Kaona watakatifu, wakiaaga dunia,
Dunia ewe dunia, kwaheri sana,
Hii ni mara ya mwisho, hatutaonana tena.
Dunia ewe dunia, Kwaheri sana x2
1.
Hukumu itatolewa, kwa watu wote wabaya,
Wapendao Ulimwengu, na dhambi zao.
Mwokozi atarejea, na zawadi za Ushindi,
Zitatolewa kwa wote walioshinda x2
Bwana atawapa pole, huku akiwapokea,
Kwa kushikana mikono, poleni sana.
Wakipanda pole pole, kuingia paradiso,
Mji ulio mzuri Yerusalemu x2
2
Siku hiyo itakuwa, siku ya ajabu sana,
Sinema itatolewa, kwa watu wote,
Waovu watatamani, wasioone sinema,
Kwa sababu wametenda, mambo mabaya x2
3
Kaona watakatifu, wakiaaga dunia,
Dunia ewe dunia, kwaheri sana,
Hii ni mara ya mwisho, hatutaonana tena.
Dunia ewe dunia, Kwaheri sana x2
