EWE MSAFIRI WA SAFARI YA MBINGUNI
1
Ewe Msafiri, wa Safari ya mbinguni.
Hebu angalia, kama kweli utayari.
Kuanza Safari, kuelekea mbinguni.
Uwe na tiketi tiketi hiyo ni Wokovu x2
Imani, hiyo ndiyo Gari,
Wokovu, hiyo ndiyo tiketi,
Kituoni, ni pale Msalabani.
Na njia yetu ni Bwana Yesu x2
2
Hapa Duniani sio petu pa kuishi,
Mbinguni ndio nyumbani kwetu,
Tujijue kwamba sisi tuwasafiri,
Kuelekea kao letu la amani x 2
3
Sote tutayari, tuko wote Kituoni,
Gari letu limekwisha kuwa tayari
Mkaguzi anakagua tiketi,
Kama hauna tiketi ujue Ndugu utaachwa x2
1
Ewe Msafiri, wa Safari ya mbinguni.
Hebu angalia, kama kweli utayari.
Kuanza Safari, kuelekea mbinguni.
Uwe na tiketi tiketi hiyo ni Wokovu x2
Imani, hiyo ndiyo Gari,
Wokovu, hiyo ndiyo tiketi,
Kituoni, ni pale Msalabani.
Na njia yetu ni Bwana Yesu x2
2
Hapa Duniani sio petu pa kuishi,
Mbinguni ndio nyumbani kwetu,
Tujijue kwamba sisi tuwasafiri,
Kuelekea kao letu la amani x 2
3
Sote tutayari, tuko wote Kituoni,
Gari letu limekwisha kuwa tayari
Mkaguzi anakagua tiketi,
Kama hauna tiketi ujue Ndugu utaachwa x2
