NI SIKU TUKUFU
1.
Ni siku tukufu, haleluya, amina
Ya kupum-zika, haleluya, amina
Tuache shughuli, tumwabudu Mungu
Bwana wa mbinguni, haleluya, amina
2.
Ni siku tukufu, haleluya, amina
Tukufu kabisa, haleluya, amina
Njoni ndugu zangu, tumwabudu Mungu
Kwa roho na kweli, haleluya, amina
3.
Ni siku tukufu, haleluya, amina,
Ya furaha mno, haleluya, amina
Yesu kazaliwa, na sasa yu nasi
Ndiye Immanueli, Mungu pamoja nasi
4.
Ni siku tukufu, haleluya, amina
Ndiyo maarufu, haleluya, amina
Tunaye mwokozi, atuokoaye
Sasa na milele, haleluya, amina
5.
Ni siku tukufu, haleluya, amina
Siku ya ne-ema, haleluya, amina
Tangazeni Neno la Bwana mwokozi
Msifuni daima, haleluya, amina
1.
Ni siku tukufu, haleluya, amina
Ya kupum-zika, haleluya, amina
Tuache shughuli, tumwabudu Mungu
Bwana wa mbinguni, haleluya, amina
2.
Ni siku tukufu, haleluya, amina
Tukufu kabisa, haleluya, amina
Njoni ndugu zangu, tumwabudu Mungu
Kwa roho na kweli, haleluya, amina
3.
Ni siku tukufu, haleluya, amina,
Ya furaha mno, haleluya, amina
Yesu kazaliwa, na sasa yu nasi
Ndiye Immanueli, Mungu pamoja nasi
4.
Ni siku tukufu, haleluya, amina
Ndiyo maarufu, haleluya, amina
Tunaye mwokozi, atuokoaye
Sasa na milele, haleluya, amina
5.
Ni siku tukufu, haleluya, amina
Siku ya ne-ema, haleluya, amina
Tangazeni Neno la Bwana mwokozi
Msifuni daima, haleluya, amina
