AIC Kirindine
  • Home
  • Prayers
  • Sermons
  • Songs
  • About Us
    • Our Leadership
    • Our Story
  • Giving
  • Knowledge Base
  • Contact

JOSHUA NA KALEBU

1.
Joshua na kalebu walitumwa na watu;
wapeleleze
wapeleleze
wapeleleze
wapeleleze
wapeleleze nchi hiyo ya Kanani, Bwana iliyowahidi x2

Watu wale wawili, wakaribishwa,
(Bass: – Na yule) Kahaba mmoja aitwaye Rahabu, kawapandisha darini. Mfalme wa Yeriko, alikasirika,
(Bass: – Lakini). Solo: – mpango wa Mungu akisha upanga, ni lazima utimie aaaax2
All: – mpango wa Mungu akisha upanga, ni lazima utimie aaaax2

2.
Walipouliza Rahabu, akawajibu;
Walitoroka.
Walitoroka.
Walitoroka.
Walitoroka
Walitoroka usiku wa manane,
Kama Walivyoambiwa x2

3.
Nchi hiyo ya Cannani ni ya Waisraeli;
Aliwahidi.
Aliwahidi
Aliwahidi.
Aliwahidi
Aliwahidi Bwana Mungu wa Majeshi, wakiwa utumwani Misrii x2

« NI SIKU TUKUFU » YESU ALITESWA SANA

Request Prayer

Publish Article

Publish Song

Create Account

Join our Church

Donate To our Church

    AIC Kirindine 2026 © All Rights Reserved
    Developed by Maxwell Mwiti. Mbae +254704030266