NI ANAYEWEZA KUSEMA AMEMALIZA MWAKA SALAMA
1.
Solo:-Ni nani?
All: -Anayeweza kusema, amemaliza Mwaka salama,
Kwa nguvu zake yeye menyewe x2
Na kuuliza we Baba,
Na kuuliza we Mama, Na wauliza Vijana,
Tujiulizeni sote.
Ni Naani?
Anaye weza kusema, amemaliza
Mwaka salama kwa nguvu zake yeye menyewe
2.
Solo: -Ni Wengi?
All: -Walitamani kuona,
Siku hii hawakuiona,
Wamekufa kwa Mapenzi Ya Mungu X2
3.
Solo: – Wenzangu
All: -Tuliofika siku hii,
tumshukuruni Sana Mungu,
Kwa pendo ametuhurumia x2
1.
Solo:-Ni nani?
All: -Anayeweza kusema, amemaliza Mwaka salama,
Kwa nguvu zake yeye menyewe x2
Na kuuliza we Baba,
Na kuuliza we Mama, Na wauliza Vijana,
Tujiulizeni sote.
Ni Naani?
Anaye weza kusema, amemaliza
Mwaka salama kwa nguvu zake yeye menyewe
2.
Solo: -Ni Wengi?
All: -Walitamani kuona,
Siku hii hawakuiona,
Wamekufa kwa Mapenzi Ya Mungu X2
3.
Solo: – Wenzangu
All: -Tuliofika siku hii,
tumshukuruni Sana Mungu,
Kwa pendo ametuhurumia x2
