AIC Kirindine
  • Home
  • Prayers
  • Sermons
  • Songs
  • About Us
    • Our Leadership
    • Our Story
  • Giving
  • Knowledge Base
  • Contact

DUNIA INAPITA

1.Dunia inapita Ndugu, Ndunia inapita oo.
Lakini neno lake Mungu halipiti,
Litadumu milele, kamwe Halipiti x2

Andaa moyo wako,songea kwa Yesu .
Maisha ni maua, yanyauka mbaya.
Ndugu ujiwekeehazina Mbinguni. x2

2.
Dunia sio mbaya ajabu,Watu ndio wabaya oo.
Watu wanayo chuki wivu, na fitina.
Wanaua wengine, kisha utajiri.
Bado walalamika dunia ni mbaya x2

3.
Duniani twapita Ndugu, Dunia sio makao yetu.
Tusitii amri, zake Mungu Baba,
Tena tulishikeni , Neno lake Mungu.
Ndipo tutamaliza safari salama x2

« NI ANAYEWEZA KUSEMA AMEMALIZA MWAKA SALAMA » I WILL NEVER GIVE UP

1.Dunia inapita Ndugu, Ndunia inapita oo.
Lakini neno lake Mungu halipiti,
Litadumu milele, kamwe Halipiti x2

Andaa moyo wako,songea kwa Yesu .
Maisha ni maua, yanyauka mbaya.
Ndugu ujiwekeehazina Mbinguni. x2

2.
Dunia sio mbaya ajabu,Watu ndio wabaya oo.
Watu wanayo chuki wivu, na fitina.
Wanaua wengine, kisha utajiri.
Bado walalamika dunia ni mbaya x2

3.
Duniani twapita Ndugu, Dunia sio makao yetu.
Tusitii amri, zake Mungu Baba,
Tena tulishikeni , Neno lake Mungu.
Ndipo tutamaliza safari salama x2

AIC Kirindine

Request Prayer

Publish Article

Publish Song

Create Account

Join our Church

Donate To our Church

 

    AIC Kirindine 2026 © All Rights Reserved
    Developed by Maxwell Mwiti. Mbae +254704030266