TUNATEMBEA KATIKA KIPIMO CHA WAKATI
1.
Tunatembea katika kipimo cha wakati.
Saa nayo imechelewa, Na Yesu analia,
Tutayafuta na nini machozi ya Mwokozi
Nayo Damu ya Yesu ni Kitu cha dhamani x2
((Nitoe nini) Kafara kwa mwokozi,
Damu ya Yesu inanidai deni x2)
Yesu pokea moyo wangu mpotovu x2
2.
Simameni Njia panda, Mkawaite watu
Enendeni katika Miji mkawasihi wote
Wahurumieni wale walio na Mashaka
Na mkawatie nguvu wale wenye udhaifu x2
3.
Kumbuka kuweka moyo upande wa Mwokozi
Usije fungiwa nje rehema ikifungwa,
Walimwengu wakiyumba na we uwe imara
Kumbuka damu ya yesu ni kitu cha dhamani x2
1.
Tunatembea katika kipimo cha wakati.
Saa nayo imechelewa, Na Yesu analia,
Tutayafuta na nini machozi ya Mwokozi
Nayo Damu ya Yesu ni Kitu cha dhamani x2
((Nitoe nini) Kafara kwa mwokozi,
Damu ya Yesu inanidai deni x2)
Yesu pokea moyo wangu mpotovu x2
2.
Simameni Njia panda, Mkawaite watu
Enendeni katika Miji mkawasihi wote
Wahurumieni wale walio na Mashaka
Na mkawatie nguvu wale wenye udhaifu x2
3.
Kumbuka kuweka moyo upande wa Mwokozi
Usije fungiwa nje rehema ikifungwa,
Walimwengu wakiyumba na we uwe imara
Kumbuka damu ya yesu ni kitu cha dhamani x2
