AIC Kirindine
  • Home
  • Prayers
  • Sermons
  • Songs
  • About Us
    • Our Leadership
    • Our Story
  • Giving
  • Knowledge Base
  • Contact

NAONA SAA IMEKAMILIKA

1. Naona saa sasa, ya kwenda mbinguni,
Imekamilika, nifunganishe mizigo.
Meli tuliyonayo, imengo’a nanga,
Tayari safari ya, kwenda Mbinguni x2

Solo: Safari.
All: Nayo ya matata na shinda
Solo:Jamani
All: Meli yetu inasukwa sukwa
Solo: Mawimbi
All: Ya bahari ni makubwa sana
Solo: Naona
All: Tuko Karibu kuvuka ng’ambo x2

2. Ebu kajiulize, meli yako ndugu ,
Kama imengoa, nanga iondoke,
Kama siivyo, tafuta mapema
Kungali mchana, kuna giza mbele x2

3. Wenzetu meli yao, hawakukumbuka,
Kungo’a nanga ili, waanze safari,
Meli yao ndugu imekesha pale,
Kukapambazuka, haina mafuta x2

« HAKIKA BWANA YESU ATARUDI » MIMI NI CHOMBO

1. Naona saa sasa, ya kwenda mbinguni,
Imekamilika, nifunganishe mizigo.
Meli tuliyonayo, imengo’a nanga,
Tayari safari ya, kwenda Mbinguni x2

Solo: Safari.
All: Nayo ya matata na shinda
Solo:Jamani
All: Meli yetu inasukwa sukwa
Solo: Mawimbi
All: Ya bahari ni makubwa sana
Solo: Naona
All: Tuko Karibu kuvuka ng’ambo x2

2. Ebu kajiulize, meli yako ndugu ,
Kama imengoa, nanga iondoke,
Kama siivyo, tafuta mapema
Kungali mchana, kuna giza mbele x2

3. Wenzetu meli yao, hawakukumbuka,
Kungo’a nanga ili, waanze safari,
Meli yao ndugu imekesha pale,
Kukapambazuka, haina mafuta x2

AIC Kirindine

Request Prayer

Publish Article

Publish Song

Create Account

Join our Church

Donate To our Church

 

    AIC Kirindine 2026 © All Rights Reserved
    Developed by Maxwell Mwiti. Mbae +254704030266