MIMI NI CHOMBO
1.
Mimi ni chombo cha Bwana yesu,
kinazunguka baharini.
Dhoruba mamba zinavuma bahari inachafuka x2
Solo: – Mimi
All:- Mimi ni chombo
Solo: – Chombo
All: – Cha Bwana yesu
All:- Kina zungungaka baharini x2
2.
Matendo yako ndio chombo, Dunia hii bahari,
Shetani naye ndiye mamba, anaye wateza wengix2
3.
Basi Mwenzangu, yachunguze matendo yako na imani,
Imani yako ni silaha ya kumpinga shetanix2