AIC Kirindine
  • Home
  • Prayers
  • Sermons
  • Songs
  • About Us
    • Our Leadership
    • Our Story
  • Giving
  • Knowledge Base
  • Contact

MIMI NI UA

1.Mimi ni ua hapa duniani,
Ni ua nzuri lipendwalo na Mungu
Mwili utakufa mwili utageuka
Roho itabaki kungojea hukumu x2

Chorus
Ole wako, Ole wangu siku ya ya mwisho
Ndipo atakapokuja Bwana
Bwana wa Mabwana
Kuyakusanya yale Maua Mazuri

2.Hebu tazameni ni ua lipi,
Lipendwalo sana na wenye Mashamba x2

3.Ewe Ndugu yanyu ujitoe vyema
uwe ua nzuri lipendwalo na Mungu x2

« AMENIITA MWOKOZI » WAKATI WA MATATIZO

1.Mimi ni ua hapa duniani,
Ni ua nzuri lipendwalo na Mungu
Mwili utakufa mwili utageuka
Roho itabaki kungojea hukumu x2

Chorus
Ole wako, Ole wangu siku ya ya mwisho
Ndipo atakapokuja Bwana
Bwana wa Mabwana
Kuyakusanya yale Maua Mazuri

2.Hebu tazameni ni ua lipi,
Lipendwalo sana na wenye Mashamba x2

3.Ewe Ndugu yanyu ujitoe vyema
uwe ua nzuri lipendwalo na Mungu x2

AIC Kirindine

Request Prayer

Publish Article

Publish Song

Create Account

Join our Church

Donate To our Church

 

    AIC Kirindine 2026 © All Rights Reserved
    Developed by Maxwell Mwiti. Mbae +254704030266