AMENIITA MWOKOZI
1.Ameniita Mwokozi wa upendo,
Ameniita nikamtumikie,
Kwa furaha nitamtumia,
Siku moja atanipumzisha x2
Chorus
Ni furaha kwa Bwana Mungu
Atanipumzisha
Baada ya Kazi Duniani
Atanipumzisha.
Nita pata uzima wa milele, Bwana Yesu, atanipumzisha x2
2.Kazi yake Mwokozi wa upendo,
Nitafanya hadi siku ya Mwisho,
Watu wote wapate kuokoka,
Wakapate uzima wa milele x2
3.Bwana Mungu nitamtumikia,
Kila siku nitamtumikia,
Hata watu wapate kunipinga,
Nitafanya juhudi ya wokovu x2
1.Ameniita Mwokozi wa upendo,
Ameniita nikamtumikie,
Kwa furaha nitamtumia,
Siku moja atanipumzisha x2
Chorus
Ni furaha kwa Bwana Mungu
Atanipumzisha
Baada ya Kazi Duniani
Atanipumzisha.
Nita pata uzima wa milele, Bwana Yesu, atanipumzisha x2
2.Kazi yake Mwokozi wa upendo,
Nitafanya hadi siku ya Mwisho,
Watu wote wapate kuokoka,
Wakapate uzima wa milele x2
3.Bwana Mungu nitamtumikia,
Kila siku nitamtumikia,
Hata watu wapate kunipinga,
Nitafanya juhudi ya wokovu x2
