AIC Kirindine
  • Home
  • Prayers
  • Sermons
  • Songs
  • About Us
    • Our Leadership
    • Our Story
  • Giving
  • Knowledge Base
  • Contact

MIMI NI MSAFIRI KWENDA

1.
Mimi ni msafiri kwenda, mbinguni mji wa ahadi
Navuka milima na mabonde (safari) haina amani x 2

Unishike mkono Bwana, Dunia imearibika
Nisije kupotea nayo, nitakafika mbinguni na
kupumzika na wenzangu mwokozi nitkutukuza x2

2.
Kufika mji wa ahadi, nakaza mwendo wa imani
Kuwaona waliotangulia (Enoko) Musa na Elija x2

3.
Elija alipanda gari akaenda nayo mbinguni.
Na sisi katika imani Mwokozi atutayarishe x2

« DARAJA NALIONA » NINA TANGAZO

Request Prayer

Publish Article

Publish Song

Create Account

Join our Church

Donate To our Church

    AIC Kirindine 2026 © All Rights Reserved
    Developed by Maxwell Mwiti. Mbae +254704030266