NINA TANGAZO
1.
(Ninatangazo) la ajabu, kwa watu wa dunia wa tahadhari
Wakorintho wa pili mlango ni wa sita fungu la pili x2
(Inasema) Huu ndio wakati wa kuokoka x2
Mimi ndimi njia, kweli na wokovu.
Mtu haji kwa baba ila kwa njia ya mimi x2
2.

(Kalvari) Mwokozi kamwaga damu yake atuokoe x2
3.

(Bethlehemu) mwokozi yesu amezaliwa atuokoei x2