DARAJA NALIONA
1.
Daraja naliona, limejengwa ili livuke mtox2
Kuna daraja moja tux2
Ya kuingia mbingunix2
Daraja daraja ndiye wake Mungu
Daraja daraja ndiye mwana wetu Yesu
All: Tutafika ngambo ile mbinguni atatufikisha kulekwa Baba X2
2.
Daraja hilo liko imara, tutafika uko kwa usalamax2
3.
Ndugu yangu umwamini Mwokozi, utafika kule kwa
usalama x2