AIC Kirindine
  • Home
  • Prayers
  • Sermons
  • Songs
  • About Us
    • Our Leadership
    • Our Story
  • Giving
  • Knowledge Base
  • Contact

MAKAO YA RAHA

1.
Makao ya raha tele ndugu,
alikwenda kutuandalia Bwana.
Akasema hakika nitarudi kuwachukua
wale watenda mema x2

Natamani kufika mji wa uzima.
Halleluya nikaone makao yangu.
Huko hakutakuwa na kiu tena.
Bass: – kweli.
All: Naenda kupumzika x2

2.
Waovu nao hawataona ufalme wa mbinguni,
sikieni tena kuomboleza ndiyo malipo yao ni ya ajabu x2

3.
Wakati umewadia sasa ni kweli,
Bwana Yesu yu karibu wakristo kesheni mkiomba tuimbe halleluya kumlaki x2

« NAINGOJA SIKU YA FURAHA » BWANA WA MAJESHI

1.
Makao ya raha tele ndugu,
alikwenda kutuandalia Bwana.
Akasema hakika nitarudi kuwachukua
wale watenda mema x2

Natamani kufika mji wa uzima.
Halleluya nikaone makao yangu.
Huko hakutakuwa na kiu tena.
Bass: – kweli.
All: Naenda kupumzika x2

2.
Waovu nao hawataona ufalme wa mbinguni,
sikieni tena kuomboleza ndiyo malipo yao ni ya ajabu x2

3.
Wakati umewadia sasa ni kweli,
Bwana Yesu yu karibu wakristo kesheni mkiomba tuimbe halleluya kumlaki x2

AIC Kirindine

Request Prayer

Publish Article

Publish Song

Create Account

Join our Church

Donate To our Church

 

    AIC Kirindine 2026 © All Rights Reserved
    Developed by Maxwell Mwiti. Mbae +254704030266