BWANA WA MAJESHI
1.
Bwana wa majeshi asema
hivi kwamba leo mwende kule, Milimani,
Mkaniletee mawe, mkanijengee Kanisa langu
Bwana asema x 2
(Sap: – Hilo
All: – Hilo ni langu x 3
Jenga Kanisa) x 2
2.
Bwana wa Majeshi asema
hivi kwamba leo mwende kule, Msituni.
Mkaniletee miti mkanijejengee Kanisa langu,
Bwana asema x 2
3.
Bwana Wamajeshi asema
hivi kwamba leo mwende kule, Nyumbani,
Mkaniletee ujuzi mkanijengee Kanisa langu,
Bwana asema x 2
4.
Bwana wamajeshi asema
hivi watu wa injili sasa, muwe hodari.
Mkafanye kazi kwa kuwa mimi niko pamoja nanyi,
nitawapa, amani. x 2