AIC Kirindine
  • Home
  • Prayers
  • Sermons
  • Songs
  • About Us
    • Our Leadership
    • Our Story
  • Giving
  • Knowledge Base
  • Contact

NAINGOJA SIKU YA FURAHA

1.
Naingoja siku ya furaha,
ya kurudi kwake mwokozi.
Alisema atarudi tena,
ni ahadi yake mwokozi, x2

Yesu wangu njoo,
nitwae mbinguni, katika mji wa ahadi.
Ni mbinguni tuu, Mji wa Bwana
nitajisikia Nyumbani x2

2.
Duniani mimi nasafiri,
nina enda kwetu mbinguni.
Kwenya mji huo wa furaha,
Yesu atanifikisha huko., x2

3.
Bwana wangu tazama dunia,
dhambi nyingi zimezidi sana.
Watu wengi wafuata dunia,
alilia Yesu njoo leo x2

« NINATAMANI NIUONE MJI MWEMA » MAKAO YA RAHA

1.
Naingoja siku ya furaha,
ya kurudi kwake mwokozi.
Alisema atarudi tena,
ni ahadi yake mwokozi, x2

Yesu wangu njoo,
nitwae mbinguni, katika mji wa ahadi.
Ni mbinguni tuu, Mji wa Bwana
nitajisikia Nyumbani x2

2.
Duniani mimi nasafiri,
nina enda kwetu mbinguni.
Kwenya mji huo wa furaha,
Yesu atanifikisha huko., x2

3.
Bwana wangu tazama dunia,
dhambi nyingi zimezidi sana.
Watu wengi wafuata dunia,
alilia Yesu njoo leo x2

AIC Kirindine

Request Prayer

Publish Article

Publish Song

Create Account

Join our Church

Donate To our Church

 

    AIC Kirindine 2026 © All Rights Reserved
    Developed by Maxwell Mwiti. Mbae +254704030266