MUDA ULIOPEWA MWANADAMU
1.
Muda uliopewa ewe mwanadamu,
Niwaa kufanya kazi ya Bwana.
Usipoteze hata dakika moja,
Kazi ya Bwanax2
Uhesabu ni watu wangapi.
Ulio-warudisha Kundini mwa Bwana,
Huhubiri injili ya Bwana,
Wataokolewa x2
2.
Japo tuna kazi nyingi mbali mbali,
Ya kuyaendesha Maisha yetu,
Lakini ni lazima tuikumbuke
Kazi ya Bwana x2
3.
Haya sasa tuanze kuwajibika,
Kila mtu na awe Mchungaji,
Awaokoe waliomo gizani
Waje nuruni x2
1.
Muda uliopewa ewe mwanadamu,
Niwaa kufanya kazi ya Bwana.
Usipoteze hata dakika moja,
Kazi ya Bwanax2
Uhesabu ni watu wangapi.
Ulio-warudisha Kundini mwa Bwana,
Huhubiri injili ya Bwana,
Wataokolewa x2
2.
Japo tuna kazi nyingi mbali mbali,
Ya kuyaendesha Maisha yetu,
Lakini ni lazima tuikumbuke
Kazi ya Bwana x2
3.
Haya sasa tuanze kuwajibika,
Kila mtu na awe Mchungaji,
Awaokoe waliomo gizani
Waje nuruni x2
