AIC Kirindine
  • Home
  • Prayers
  • Sermons
  • Songs
  • About Us
    • Our Leadership
    • Our Story
  • Giving
  • Knowledge Base
  • Contact

KIFO NI NINI?

1.
Kifo nini jamani wenzangu nina uliza,
Kifo ni usingizi usio na tatizo,
Pumziko ambalo halina uchungu.
Hakuna kuwawaza wala hauwezi kutubu x 2

Mwenzangu umche Bwana kabla ya siku ile,
Utakapozingirwa na wanadamu wenzako.
Wakikutandikia kitanda cha pekee,
Ambazo utalala mpaka siku ya mwisho x 2

2.
Enenda zako ule chakula kwa furaha,
Mwamini Yesu Bwana ungali huko hai.
Mpende mke wako siku za ubatili,
Hakuna kazi huko kuzimu uendako x 2

3.
Bwana nina kuomba unitayarishe nami,
Ninapokuwa nangoja malala yangu pekee.
Ili utakapokuja uniamshe katika,
Uzima ule ambao hauna mauti tena x2

« NILIOGELEA BAHARINI YA DHAMBI » EWE MSAFIRI WA SAFARI YA MBINGUNI

1.
Kifo nini jamani wenzangu nina uliza,
Kifo ni usingizi usio na tatizo,
Pumziko ambalo halina uchungu.
Hakuna kuwawaza wala hauwezi kutubu x 2

Mwenzangu umche Bwana kabla ya siku ile,
Utakapozingirwa na wanadamu wenzako.
Wakikutandikia kitanda cha pekee,
Ambazo utalala mpaka siku ya mwisho x 2

2.
Enenda zako ule chakula kwa furaha,
Mwamini Yesu Bwana ungali huko hai.
Mpende mke wako siku za ubatili,
Hakuna kazi huko kuzimu uendako x 2

3.
Bwana nina kuomba unitayarishe nami,
Ninapokuwa nangoja malala yangu pekee.
Ili utakapokuja uniamshe katika,
Uzima ule ambao hauna mauti tena x2

AIC Kirindine

Request Prayer

Publish Article

Publish Song

Create Account

Join our Church

Donate To our Church

 

    AIC Kirindine 2026 © All Rights Reserved
    Developed by Maxwell Mwiti. Mbae +254704030266