YESU ALITESWA SANA
1.
Yesu aliteswa (Tenor: – Sana) juu Msalabani.
Tupate kombolewa (Tenor: – Kwa damu) kwa damu yake Bwana x2
Sop/alto: – Ndugu na Dada zangu, Baba na Mama
Yesu anatupenda, Kwa damu iliyomwagika kalvari tupate kupona.
Bass: – Halleluya. All: – nasi tuwe washindi Kama alivyo shinda x 2
2.
Walimpeleka Yesu (Tenor: – Yesu) kwake Pilato
wakasema yeye (Tenor: – mwenye dhambi) kwa ni heri auawe x2
3.
Wayahudi walimwangika (Tenor: pale) Msalabani.
Wakampiga san (Tenor: sana) na Kumtemea mate x2