MFARISAYO MMOJA
1.
Mfarisayo mmoja, alimwendea yesu.
Akamsihi sana, ewe Rabbi Mwalimu,
Nifanye nini sasa, nipate kuuridhi uzima udumuo milele x2
Yesu Akamjibu, Akamwambia,
Wee Wazijua Amri za Baba,
Usiue, Usiibe Wala Usizini,
Waheshimu Wazazi Wakox2
2.
Kijana akasema yote nimeyashika ,
nami nimejifunza toka utotoni wangu,
lipi limefungua nipate kuuridhi
uzima udumuo milele x2
Yesu akampenda, Akamwambia,
uzaa mali zako ulizo nazo,
kisha uwapee hao masikini,
utapata haki mbingunix2
3.
Aliukunja uso kisha akaondoka,
Yesu akasema wazi ni vigumu kabisa,
kwa tajiri kuuridhi uzima wa milele,
uzima udumuo milele x2
1.
Mfarisayo mmoja, alimwendea yesu.
Akamsihi sana, ewe Rabbi Mwalimu,
Nifanye nini sasa, nipate kuuridhi uzima udumuo milele x2
Yesu Akamjibu, Akamwambia,
Wee Wazijua Amri za Baba,
Usiue, Usiibe Wala Usizini,
Waheshimu Wazazi Wakox2
2.
Kijana akasema yote nimeyashika ,
nami nimejifunza toka utotoni wangu,
lipi limefungua nipate kuuridhi
uzima udumuo milele x2
Yesu akampenda, Akamwambia,
uzaa mali zako ulizo nazo,
kisha uwapee hao masikini,
utapata haki mbingunix2
3.
Aliukunja uso kisha akaondoka,
Yesu akasema wazi ni vigumu kabisa,
kwa tajiri kuuridhi uzima wa milele,
uzima udumuo milele x2
