TUMEITWA NAYE YESU KAZINI MWAKE
1.
Tenor/ Sap: – Tumitwa naye yesu kazini mwake
Bass: – Kwa kweli
All: -Sisi tumawaziri wake Yesu
Tenor/sap: – Tutafanya kazi yake wakati wote
Bass: – Duniani
All: Kama mawaziri waminifu x2
Bass:- wizara All:- Ya maombi
Bass:- wizara All:- Ya Injili
Bass:- wizara All:- Ya Wimbaji
Bass:- wizara All:- Ya Unabii
All:- Mungu wetu utuongoze kazini mwako x2
2.
Tenor/ Sap: – Kazi yake Bwana Mungu itanzia wapi?
Bass: -Kirindine
All: – Njoo ndugu yangu uokoke
Tenor/sap: -Ndugu yangu jihadhari usichelewe
Bass: – Kwa kuwa
All: Wakati umekaribia x2
3.
Tenor/ Sap: – Bwana Mungu twakuomba utuongoze
Bass: – Sababu
All: – Ni wewe tunategemea
Tenor/sap: – Bila wewe hatuwezi kuendelea
Bass: – Kwa kuwa
All:Tunahitaji nguvu zako x2