SHOKA LIMEWEKWA TAYARI
1.
Shoka limewekwa tayari kukata mti
Usiozaa matunda na kuchomwa moto x2
Solo:- ooh zaeni
All :- zaeni matunda mema,
zaeni ya Baraka,
zaeni ya heri
yanayostahali toba x2
2.
Tunda liloaminika latoka kwa Bwana
Ni Halleluyah kwa watu wote wa duniani x2
3.
Uhubirini neno la Bwana tangaza wokovu
ndani ya kanisa na nje waponye wagonjwa x2
1.
Shoka limewekwa tayari kukata mti
Usiozaa matunda na kuchomwa moto x2
Solo:- ooh zaeni
All :- zaeni matunda mema,
zaeni ya Baraka,
zaeni ya heri
yanayostahali toba x2
2.
Tunda liloaminika latoka kwa Bwana
Ni Halleluyah kwa watu wote wa duniani x2
3.
Uhubirini neno la Bwana tangaza wokovu
ndani ya kanisa na nje waponye wagonjwa x2
