AIC Kirindine
  • Home
  • Prayers
  • Sermons
  • Songs
  • About Us
    • Our Leadership
    • Our Story
  • Giving
  • Knowledge Base
  • Contact

NENO LILIMJIA JOELI

1.
Neno lilimjia Joel mwana wa Bethiel,
Likawaonya wazee wote wan chi na vizazi vyao x2

Solo: – (Lakini hata sasa asema Bwana)
All: – Nirudieni kwa mioyo yenu
Solo: – Kukesha na kwa kuomba
Kwa kulia na kuomboleza

All: – Nirudieni kwa mioyo yenu
Solo: – nani alisema sita wabariki
All: – Nirudieni kwa mioyo yenu
Solo: – Mimi Bwana ninasema
All: – Nirudieni kwa mioyo yenu x2

2.
Sodoma na Gomorah walionywa hawakusikia
Moto wake Mungu ulishuka wateketea

3.
Napenda wale wanipendao asema Bwana
Nitawapa siri ya moyo wangu asema Bwana x2

« MUNGU WA UPENDO MSINGI WA BARAKA » SHOKA LIMEWEKWA TAYARI

1.
Neno lilimjia Joel mwana wa Bethiel,
Likawaonya wazee wote wan chi na vizazi vyao x2

Solo: – (Lakini hata sasa asema Bwana)
All: – Nirudieni kwa mioyo yenu
Solo: – Kukesha na kwa kuomba
Kwa kulia na kuomboleza

All: – Nirudieni kwa mioyo yenu
Solo: – nani alisema sita wabariki
All: – Nirudieni kwa mioyo yenu
Solo: – Mimi Bwana ninasema
All: – Nirudieni kwa mioyo yenu x2

2.
Sodoma na Gomorah walionywa hawakusikia
Moto wake Mungu ulishuka wateketea

3.
Napenda wale wanipendao asema Bwana
Nitawapa siri ya moyo wangu asema Bwana x2

AIC Kirindine

Request Prayer

Publish Article

Publish Song

Create Account

Join our Church

Donate To our Church

 

    AIC Kirindine 2026 © All Rights Reserved
    Developed by Maxwell Mwiti. Mbae +254704030266