TUMEACHA VYOTE TUKAKUFUATA WEWE --- AIC
1.
Tumeacha vitu vyote tukakufuata wewe ,
Tutapata nini? Petro kauliza X2
Tumeacha na nyumba , tukaacha na ndugu
Tutapata nini? Petro kauliza X2
CHORUS
All: – Yesu akajibu, chochote mumeacha,
Kwa ajili yangu, mtapewa mara`mia.
Zaidi ya hayo, taji mtatiwa,
Taji mtatiwa na uzima wa milele x2
2.
Tumeacha vitu vyote tukakufuata wewe ,
Tutapata nini? Petro kauliza X2
Tumeacha na Dada zetu , tukaacha na Wazazi
Tutapata nini? Petro kauliza X2
3.
Tumeacha vitu vyote tukakufuata wewe ,
Tutapata nini? Petro kauliza X2
Tumeacha na watoto, tukaacha na mashamba ndugu
Tutapata nini? Petro kauliza X2
1.
Tumeacha vitu vyote tukakufuata wewe ,
Tutapata nini? Petro kauliza X2
Tumeacha na nyumba , tukaacha na ndugu
Tutapata nini? Petro kauliza X2
CHORUS
All: – Yesu akajibu, chochote mumeacha,
Kwa ajili yangu, mtapewa mara`mia.
Zaidi ya hayo, taji mtatiwa,
Taji mtatiwa na uzima wa milele x2
2.
Tumeacha vitu vyote tukakufuata wewe ,
Tutapata nini? Petro kauliza X2
Tumeacha na Dada zetu , tukaacha na Wazazi
Tutapata nini? Petro kauliza X2
3.
Tumeacha vitu vyote tukakufuata wewe ,
Tutapata nini? Petro kauliza X2
Tumeacha na watoto, tukaacha na mashamba ndugu
Tutapata nini? Petro kauliza X2
