AIC Kirindine
  • Home
  • Prayers
  • Sermons
  • Songs
  • About Us
    • Our Leadership
    • Our Story
  • Giving
  • Knowledge Base
  • Contact

MFALME BELITHISAZZA

1.
Belishazza Mfalme wa Babeli kafanya karamu kubwa.
(Na kweli) kahamuru vyombo vya Kanisa viletwe kwenye
divai, (Na tena) wakaanza kuisifu miungu ya dhahabu na mawe

Bass: – Mene mene tekeli perezi
All: – Ufalme wako umefunguka, umetupwa katika mizani ukaonekana umepunguka ukagawanyika Na ukapeanwa

2.
Pakaletwa mkono wa mwanadamu ukaandika ukutani
(Na tena) uso wake ukabadilika fikira zake kamfadhaisha
(Wachawi) wakaletwa wao waelezae lakini wao wakashindwa

3.
Danieli alipotewa akayaeleza yote (Ni kweli) Mene mene tekeri na mwisho wake peresi
(Kwa kweli ) usiku huo Mfalme Belishazza akauawa x2

« UJIKANE EWE MWANADAMU » RUNGAMA NANI YESU by Judith Makandi

1.
Belishazza Mfalme wa Babeli kafanya karamu kubwa.
(Na kweli) kahamuru vyombo vya Kanisa viletwe kwenye
divai, (Na tena) wakaanza kuisifu miungu ya dhahabu na mawe

Bass: – Mene mene tekeli perezi
All: – Ufalme wako umefunguka, umetupwa katika mizani ukaonekana umepunguka ukagawanyika Na ukapeanwa

2.
Pakaletwa mkono wa mwanadamu ukaandika ukutani
(Na tena) uso wake ukabadilika fikira zake kamfadhaisha
(Wachawi) wakaletwa wao waelezae lakini wao wakashindwa

3.
Danieli alipotewa akayaeleza yote (Ni kweli) Mene mene tekeri na mwisho wake peresi
(Kwa kweli ) usiku huo Mfalme Belishazza akauawa x2

AIC Kirindine

Request Prayer

Publish Article

Publish Song

Create Account

Join our Church

Donate To our Church

    AIC Kirindine 2026 © All Rights Reserved
    Developed by Maxwell Mwiti. Mbae +254704030266