KUNA UJUMBE UNATANGAZWO
1.
Kuna ujumbe watangazwa, kila siku watangazwa.
Ujumbe huo Ni wokovu, Ndugu okokeni.
Muachane nay a dunia, muachane na dhambi zenu.
Mwamini mwokozi muokolewe
All: – Muda uliokoo, ni mfupi sana
Sap: Heri uchague kuwa na Yesu
All: – mambo yote ya dunia kweli yote yatapita, bali
Wokovu ndugu ni wa milele
2.Mbele yako umewekewa, vitu viwili, uchague kimojawapo,
rafiki yangu. Mbele yako kuna uzima, uzima wa milele.
Mbele yako kuna mauti mauti milele x 2
3.
Watu wengi wanafikiri, mambo haya ni Mzaha.
Kumbe mwisho wa mzaha, kuna Kilio.
Wengi wetu tuna amini, lisemwalo kwamba alipo Ndugu
kama huamini ngoja linakuja x 2