LINDA IMANI YAKO
1 Imani yako ndugu, ikiwa imara huwa mtetezi wako katika mambo yote.
Rafiki wa karibu ukimtegemea, uraishisha yote yu nuru ya uzima x2
Linda imani yako , linda Imani yako
Bwana niwa upendo atakushindaniax2
2
Tukumbuke Paulo na Sila gerezani, walidumisha imani katika kuomba.
Walilinda Imani yao wakijua tegemeo ni Yesu katika mambo yote x2
Milango ya Gereza ikawa wazi wazi,Wakatoka salama kwa uwezo wake Mungux2
3
Dunia inashinda, mashaka na huzuni, ndio msongamano kudumisha imani,
kwa mambo ya dunia natusirudi nyuma, twende mbele na Yesu katika mambo yote x2
Mwachie mambo yote mwenye rehema zote. Yeye ni mchungaji atakupigania